Kwa mujibu wa wa sheria ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM) ya mwaka 1982 katika kifungu 7 hadi 12 vinatoa uhalali wa uwepo wa MSM pamoja na majukumu yake. Sambamba na hili, ili MSM ziweze kutimiza wajibu wake zinapaswa kuwa na Mpango Mkakati (MK) “Strategic Plan”.
Mapango Mkakati:
Mpango Mkakati unaweza kutafsiriwa na kuelezewa kwa mitazamo tofauti kwa kutegemea maana halisi kwa kila mtu au taasisi. Kwa lugha nyepesi twaweza sema MK ni ramani inayoonyesha njia za kupita ili kufika sehemu iliyokusudiwa na mtu au taasisi.
Umuhimu wa Mpango Mkakati:
Zipo sababu nyingi za kuhitajika kwa Mpango Mkakati, kwa uchache tu baadhi ya kusudi la kuwa na MK ni; -
MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI:
Halmashauri ya Arusha inaendelea kufanyiakazi zoezi la uhuishaji wa Mpango Mkakati wake wa miaka mitano 2016/2017 – 2020/2021. Aidha, uhuishwaji huu unafanyika baada ya kumalizika kwa muda wa Mpango Mkakati wa mwaka 2011/2012 – 2015/2016.
Sababau kuu iliyopelekea uhuishaji wa Mpango Mkakati ni kumilika kwa muda wa Mpango Mkakati wa 2011/2012 -2015/2016. Sababu nyingine muhimu ni pamoja na;-
MPANGO MKAKATI - KISWAHILI KWA UFUPI.docx
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.