Posted on: July 16th, 2023
Shule ya sekondari Mwandat imeibuka kidedea ikipeperusha bendera yake ya kitaaluma kwa kushika nafasi ya kwanza kati ya shule 10 za halmashauri ya Arusha kwa matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Ki...
Posted on: July 16th, 2023
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na matundu 6 ya vyoo shule ya Msingi Ilboru umekamilika.
Mradi umetekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 112.6 fedha kutoka Serikali Kuu k...
Posted on: July 14th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Wananchi wilaya ya Arumeru, wanaojishughulisha na kilimo haramu cha bangi, wametakiwa kuacha mara moja kilimo hicho huku serikali ikiwa na mkakati wa kuwachukulia hatua ...