Posted on: August 31st, 2022
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatangazia Wazazi na Walezi wote, wenye watoto wenye umri wa kuanzia miaka 0 - 5, kuwapeleka watoto wao kupata Chanjo ya Polio.
...
Posted on: August 31st, 2022
Na Elinipa Luoembe
Jumla ya watoto 88, 628 wenye umri wa chini ya miaka 5, wanategemea kupatiwa chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa awamu ya tatu, inayotegemea kufanyika kwa siku 4, &nbs...
Posted on: August 30th, 2022
Je Karani wa Sensa hajakufikia?
Piga Simu kwa namba zifuatazo:-
DC ARUMERU - 0784 432 090
DED ARUSHA DC -0787 559 025
MRATIBU WA SENSA - 0713 510 413
HakikishaUmehesabiwa kabla...