Posted on: February 7th, 2023
Maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya watumishi Zahanati ya Likamba kata ya Musa yenye uwezo wa kuishi familia mbili (2 in 1).
Mratibu wa TASAF halmashauri ya Arusha, Grace Makema ameweka wazi ...
Posted on: February 6th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Vijana halmashauri ya Arusha walionufaika na mikopo isiyo na riba inayotolewa na serikali, wameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Has...
Posted on: February 4th, 2023
Na Rlinipa Lupembe
Wazazi halmashauri ya Arusha, wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata chakula cha mchana wawapo shuleni, kushindwa kufanya hivyo hatua kali zitachukuliwa juu yao.
...