Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mashaka Mrisho Gambo ametembelea Kijiji cha Watoto SOS i kinacholea watoto Yatima kilichopo eneo la Ngaramtoni na kuzungumza na watoto na walezi wa watoto hao.
Akiwa katika Kijiji hicho cha watoto SOS mkuu wa mkoa huyo ametembelea makazi ya watoto hayo na kujionea namna kituo hicho kinavyotunza watoto yatima kwa kuwaweka makundi ya kuishi kama familia tofauti na vituo vingine .
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.