Na. Elinipa Lupembe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Ummy Mwalimu, amesitisha kwa muda matumizi ya Mfumo wa Kielekroniki wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kuanzia tarehe 09.10.2021.
.Chanzo cha habari.
Kitengo cha Mawasiliano - OR - TAMISEMI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.