|
Shirika la WaterAid Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Arusha, wanawatangaza Zabuni ya Ujenzi wa mradi wa maji kwenye Vijiji vya Olkokola na Lengijave.
Mradi huu unafadhiliwa na Idara ya Maendeleo Uingereza 'DFID'. Kwa yeyote mwenye ni ya kuomba atume maombi kwa anuani ifuatayo:-
COUNTRY DIRECTOR,
WaterAid Tanzani,
C/O DED ARUDHA DC
P.O.BOX 2330,
ARUSHA.
Mwisho wa kupokea maombi yote ni tarehe 18.05.2018.
Maelezo zaidi soma Tangazo kwenye kipande cha gazeti pichani.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.