Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, anawatangazia wananchi wote kuwa,Tume ya Taifa ya Uchaguzi itaweka Wazi Daftri la Awali la Wapiga Kura kwa siku NNE kuanzia Tarehe 17-20/06/2020 kwenye vituo vyote vilivyotumika Wakati wa Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Uwekaji wazi huu utafanyika kwa kuzingatia tahadhari zote za afya kuhusu kuzuia maambukizi ya ugonjwawa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona.
***ZOEZI HILI LITAHUSU:-
***UTARATIBU WA UHAKIKI***
Mpiga kura anaweza kuhakiki taarifa zake kwa njia zifuatazo:-
**MAMBO YA KUZINGATIA:-
*****Katika zoezi hili hakutakuwa na Uandikishaji wa Wapiga Kura Wapya. Aidha, hakutakuwa na Uboreshaji wa Taarifa za Wapiga Kura waliohama maeneo yao ya kiuchaguzi, waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika****.
**ZOEZI HILI NI LA NNE TUU, ZINGATIA MUDA**
*KUMBUKA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA, KWA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA UWAPO KITUONI*
Fuata maelekezo utakayopewa kituoni ili kujiepusha na maambukizi ya virusi vya Corona.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.