Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Arusha, anawatangazia wanananchi wote, wa Halmashauri ya Arusha kuhudhuria Mkutano wa Hadhara kwa ajili ya kusikiliza Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019.
Mkutano huo utafanyika siku ya Jumatatu tarehe 23.09.2019, kwenye Ukumbi wa Mikutano halmashauri ya Arusha, kuanzia saa 03:00 Asubuhi.
Mkutano huo ni kwa mujibu wa wa Kanuni ya Uchaguzi wa Mwrnyekiti wa Kijiji, wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni.
Atakayesikia Tangazo hili amurifu na mwenzake.
*WOTE MNAKARIBISHWA*
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.