Na. Elinipa Lupembe.
MWANDETI SEKONDARI YAENDELEA KUNG'ARA KUMI BORA KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2021
Shule ya sekondari Mwandeti halmashauri ya Arusha, imeendelea kudumu kwenye nafasi 10 bora kwa matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha sita tangu kuanzishwa kwa kidato cha tano na cha site mwaka 2016.
Shule ya sekondari Mwandeti imeshika nafasi ya 7 kitaifa kwa mujibu ya matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Taifa - NECTA mwaka 2021.
HONGERA MWANDETI SEKONDARI
HONGERA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
HONHERA WALIMU NA WANAFUNZI.
HONGERA HALAMSHAURI YA ARUSHA.
ARUSHA DC
Bofya hapa kuona matokeo ya kidato cha 6
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.