Mwananchi mkazi wa mkoa wa Arusha usikose kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mashaka Mrisho Gambo katika kipindi cha TUNATEKELEZA, kitakochorushwa na Televisheni ya Taifa - TBC siku ya Alhamisi kuanzia saa 03:30 _ 04:30 usiku.
Mhe. Gambo atazungumzia Maendeleo ya mkoa wa Arusha kisekta, katika kuwahudumia wananchi wa Arusha pamoja na utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa kipindi cha miaka miwili kuelekea mwaka 2020.
............... Usipange Kukosa!!!!!!!!!.......
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.