"Serikali ya awamu ya tano, kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, imeamua kutumia kiasi cha shilingi milioni 150 kujenga Ofisi ya Uthibiti Ubora Shuleni, halmashauri ya Arusha, ikiwa na lengo la kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu na kuimarisha kiwango cha taaluma kwa wanafunzi".
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.