Halmashauri ya Arusha kupitia fedha za mapato yake ya ndani imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi 750,000 kwa mama aliyebomolewa nyumba yake na mafuriko yaliyotokana na mvua za mwaka 2014 na kumuacha hana mahali pa kuishi kwa muda mrefu.
Afisa Mipango Halmashauri ya Arusha Anastazia Tutuba amemkabidhi Mama huyo anayejulikana kwa jina la Domina Bartazar mkazi wa kata ya Olturoto amekabidhiwa jumla ya bati 15 na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na yeye kwa sasa kuishi kwenye nyumba ya muda aliyoijenga baada ya nyumba yake kubomolewa na mafuriko.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.