• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED ARUSHA DC AWATAKA WATUMISHI KUCHAPA KAZI

Posted on: February 16th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, amewataka watumshi, halmashauri ya Arusha, kuendelea kufanya kazi kwa bidii, na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kanuni na sheria na taratibu za kazi, licha ya changamoto zinazowakabili katika utumishi wao na katika maeneo yao ya kazi.

Mkurugenzi Mtambule ameyasema hayo, wakati akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi, halmashauri ya Arusha, wakati wa mkutano wa kupitia na kujadili rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha 2021/2022, mkutano unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.

Imeelezwa kuwa serikali inaendelea kutatua changamoto za watumishi licha ya kwamba si rahisi kuzimaliza zote kwa wakati mmoja, na kuwataka watumishi hao, kuendelea  kujituma katika kufanya kazi na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kanuni, sheria na taratibu za utumishi wa Umma.

"Watumishi wa umma bado wanachangamoto nyingi lakini serikali inaendelea kutatua changamoto hizo na kuzipunguza kwa kupunguza ukiritimba uliokuwa unakwamisha baadhi ya mambo, na hata hivyo itachukua muda mrefu kuzimaliza changamoto hizo" amesisitiza Mkurugenzi huyo.

Mkutano huo wa Baraza la Wafanyakazi, umefanyika kwa mujibu miongozo ya serikali za mitaa, kushiriki katika mchakato wa maandali ya bajeti  ya halmashauri.








Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA NAFASI ZA UDEREVA TAREHE 28/12/2018 December 19, 2018
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI TAREHE 1-7, AGOSTI 2020. July 31, 2020
  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI 2O20/2021 TAREHE 29.01.2021 January 29, 2021
  • Orodha ya majina ya walioitwa kwenye Usahili siku ya Ijumaa tarehe 20/04/2018. April 13, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BI. ANGELA MVAA AWA RAIS WA CHAMA CHA WATALAMU WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA -CODEPATA

    February 28, 2021
  • MADIWANI ARUSHA DC, WAIDHINISHA BILIONI 57.1 KUTUMIKA MWAKA UJAO WA FEDHA 2021/2022

    February 25, 2021
  • WAMILIKI WA ARDHI KIJIJI CHA KISERIANI WAPAGAWA NA URASIMISHAJI.

    February 25, 2021
  • ARUSHA DC YATEKELEZA ZAIDI YA ASILIMIA 80 YA BAJETI ILIYOIDHINISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

    February 24, 2021
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ampokea Balozi wa Japani nchini Tanzania, Balozi Shinichi Goto
Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.