• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI MWANDETI LAUNGUA MOTO

Posted on: September 19th, 2021

Bweni la wasichana shule ya sekondari Mwandeti limeungua moto na kusababisha uharibifu wa jengo hilo, pamoja na hasara ya vifaa na mbalimbali vya wanafaunzi wanaolala katika bweni hilo, ikiwemo vitanda na magodoro.

Mkuu wa shule ya sekondari Mwandeti, mwalimu John Masawe, amesema kuwa moto huo umesababisha  taharuki kwa wanafunzi wa shule hiyo,  na kusababisha  hasara ya kuteketea kwa vitanda, magororo, vifaa binafsi vya wanafunzi pamoja na uharibifu wa jengo.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Selemani Msumi licha ya kusikitishwa na ajali hiyo ya moto ambayo imesababisha hasara na taharuki kwa wanafunzi, amewataka wanafunzi hao, kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea na taratibu nyingine, ikiwemo kuchunguza chanzo cha ajali hiyo pamoja na kukarabati jengo hilo.

Aidha mkurugenzi Msumi, amethibitisha kuagiza timu ya watalamu waliofanya tathmini ya uharibu uliotokea, na tayari halmashauri imeshatoa kiasi cha shilingi milioni 5 kwa ajili ya kununulia baadhi ya vifaa, tayari kwa kuanza matengenezo ya awali.

"Kiasi hicho cha fedha kitatumika kununu baadhi ya vifaa vya kukarabari vitanda, kununua gipsam, na alminium, vifaa ambavyo vitasaidia katika hatua za awali za ukarabati wa bweni hilo" amefafanua Mkurugenzi Msumi.

Naye Afisa wa Polisi wa kikosi cha zima moto Jiji la Arusha Geradi Nonkwe amesema kuwa, kikosi hicho kinaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hiyo, kwa kuwa bado hakijajulika na kuwataka, wananchi kuendela kuchukua tahadhari ya moto katika maeneo yao.

Mkurugenzi mtendaji halamshauri ya Arusha, anatoa pole kwa wanafunzi na jumuia ya nzima ya shule ya sekondari Mwandeti, na kuwataka wadau wa elimu kujitokeza kusaidia ukarabati wa bweni hilo la wasichana kwa ajili ya kuwezesha wanafunzi kuendelea masomo yao katika hali ya kawaida. 






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.