• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC yapata hati safi mwaka wa nne mfululizo

Posted on: April 11th, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

Halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru imepata Hati Safi kwenye ukaguzi wa hesabu kwa mwaka wa nne mfululizo sasa.

Hati hiyo safi imepatikana kufuatia taarifa iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali,  Profesa Mussa Assad, aliyoitoa mwanzoni mwa wiki hii ofisini kwake Jijini Dodoma.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Dkt. Wilson Mahera, amesema kuwa amafurahishwa sana na halmashauri yake, kupata hati safi kwa mara ya nne mfululizo na kuongeza kuwa hati hiyo imetokana na utendaji mzuri na ushirikiano wa watumishi walio chini yake.

Aidha mkurugenzi huyo, amewapongeza watumishi wote wa halmashauri ya Arusha kwa ujumla wao, wakuu wa idara na vitengo pamoja na Baraza la Waheshimiwa Madiwani, kwa pamoja ndio waliofanikisha upatikanaji wa hayo hiyo safi.

Mweka Hazina wa Halmshauri ya Arusha, Ritte Wiliam amesema siri ya kupata hati safi ni matumizi ya fedha yanayozingatia sheria,  kanuni na taratibu ya fedha za umma pamoja na watumishi kuzingatia maadili ya utumishi wa umma.

Ritte amesema kuwa, halmashauri inamkakati wa kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha halmashauri hiyo inaendelea kupata hati safi.

Mwandishi anatoa hongera sna, kwa watumishi wote  ARUSHA DC, na kuwataka wachape kazi kwa weledi kwa kuweka mbele uzalendo.

#PamojaTunatekeleza#PAMOJATUNATEKELEZA#




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.