Halmashauri ya Arusha inaongozwa na Baraza la Madiwani lenye jumla ya wajumbe 37, kati ya hao wajumbe 27 ni madiwani wa kata 27 za Halmashauri, wajumbe 9 ni madiwani kwa viti maalumu na Mbunge mmoja.
Halmashauri ya Arusha inaongozwa na Mwenyekiti Mheshimiwa Noah Lembrisi aliyechaguliwa na Madiwani 27 wakuchaguliwa na Madiwani 9 wa viti maalumu na ina Mbunge mmoja wa Kuchaguliwa wa Jimbo la Arumeru Magharibi.
Halmashauri ina kamati 4 za kudumu ambazo ni :-
i.Kamati ya Fedha Utawala na Mipango,
ii.Kamati ya Elimu, Afya na Maji,
iii.kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.
iv.Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.