• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Saturday 16th, January 2021
@Arusha DC


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anapenda kuwatangazia waombaji wote walioomba kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Katibu Mahsusi Daraja la III kuwa usaili utafanyika tarehe 26 na 27 Juni, 2020  saa 2:30 asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

Aidha usailli wa mchujo (Written Interview) utafanyika tarehe 26/06/2020 na wasailiwa watakaofaulu ndio watakaochaguliwa kuendelea na Usaili wa Mahojiano (Oral Interview) tarehe 26/06/2020 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha siku ya tarehe 27/06/2020 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Orodha ya waombaji walioitwa kwenye usaili ni kama inavyoonekana hapo chini, kwa waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika orodha  hiyo watambue kuwa maombi yao hayajakidhi sifa kwa mujibu wa nafasi zilizotangazwa.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anawashukuru kwa kuleta maombi ya kazi na wasisite kutuma tena maombi kipindi Halmashauri itakapotangaza nafasi za kazi ambazo zitaendana na sifa walizonazo.

Waombaji wote walioitwa kwenye Usaili wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

  1. Wasailiwa wafike na Vyeti Halisi (Original) vya Taaluma kuzaliwa Vyeti vya Shule na kitambulisho.
  2. Vitambulisho vitakavyokubaliwa ni pamoja na kitambulisho cha Uraia, kitambulisho cha kupiga Kura, Leseni ya Udereva au pasi ya kusafiria.
  3. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka  husika (TCU, NACTE, na NECTA).
  4. Msailiwa anayekuja kufanya usaili atajigharamia mwenyewe.
  5. Msailiwa anatakiwa kuzingatia  tarehe , muda na eneo la usaili.
  6. Usaili utafanyika kwa njia ya maandishi (vitendo) na mahojiano.
  7. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask) na kuzingatia maelekezo yote ya kujikinga na Corona.
  8. Tahadhari usaili utafanyika kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa umma. Kuna matapeli wanatumia majina ya watu  na vyeo vya watu kwa lengo la kujipatia fedha kuweni makini na matapeli hao.  OFISI HAITAWASILIANA NA MSAILIWA YEYOTE KWA NJIA SIMU.


ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA NAFASI ZA UDEREVA TAREHE 28/12/2018 December 19, 2018
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI TAREHE 1-7, AGOSTI 2020. July 31, 2020
  • Orodha ya majina ya walioitwa kwenye Usahili siku ya Ijumaa tarehe 20/04/2018. April 13, 2018
  • Matokeo ya usaili wa kuandika, nafasi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Arusha DC April 20, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO LA URASIMISHAJI ARDHI /MAKAZI ENEO LA KISERIANI

    December 27, 2020
  • MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KITAIFA ARUSHA DC 10.12.2020

    December 04, 2020
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ARUSHA DC 03.12.2020

    December 02, 2020
  • NMB CLOCK TOWER YAAHIDI KUWEZESHA WAKULIMA & WAFUGAJI ARUSHA DC

    October 09, 2020
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ampokea Balozi wa Japani nchini Tanzania, Balozi Shinichi Goto
Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.