Zoezi la uandikishwaji wa vitambulisho vya kitaifa -NIDA linaendelea kataka kata ya Kiranyi kwa ajili ya upigaji picha kuanzia tarehe 23-27/04/2018. Zoezi hilo la upigaji picha litafanyia kwenye Ofisi ya Kitongoji cha Ilkiurei eneo la Mianzini na kwenye Ofisi ya Kata ya Kiranyi.
Wananchi wote na wakazi wa kata ya Kiranyi na raia wa Tanzania, wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea wanatakiwa kufika katika ofisi hizo kwa ajili ya kupiga picha za vitambulisho vya taifa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.